Mwongozo wa Makazi: Ufafanuzi wa huduma za kisheria Australia

Bango la shirika la huduma za kisheria

Bango la shirika la huduma za kisheria Source: Picha: Getty

Waustralia wote wako sawa mbele ya sheria lakini si kila mtu anaweza kumudu kulipia gharama za huduma za kisheria zinazohitajika kupata haki.


Ili kuziba mwanya huu, kuna tume nane za msaada wa kisheria hapa Australia, moja kwa kila jimbo na kitongoji.

Madhumuni ya tume hizi za misaada za kisheria ni kuwasaidia watu wasiokuwa na uwezo wenye matatizo, na waustralia wapya waliowasili wenye mahitaji ya haki za kisheria.

Kwa maelezo zaidi juu ya tume ya msaada wa kisheria katika jimbo lako, au kitongoji unako ishi, tembelea tovuti ya: www.australia.gov.au/content/legal-aid

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Mwongozo wa Makazi: Ufafanuzi wa huduma za kisheria Australia | SBS Swahili