Haishangazi kuwa 90% ya wanafunzi huchukua mkopo kulipa ada ya chuo.
Kuna aina tofauti za mikopo, pamoja na miradi ya udhamini, kwa ajili yakuwasaidia wanafunzi na ada zao.
Kwa taarifa ya ziada kuhusu mfumo wa mikopo ya wanafunzi, tembelea tovuti ya msaada wa masomo.
Anwani ni: ().Na kwa taarifa ya ziada kuhusu mfumo wa udhamini kwa wakimbizi na waomba hifadhi, tembelea tovuti ya shirika la Refugee Council
Bofya hapa chini kwa taarifa ya ziada:
Study Assist - Help paying my fees Scholarships for asylum seekers and refugees New HELP overseas obligation Universities Australia

