Watch FIFA World Cup 2026™ LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Mwongozo wa Makazi: Taarifa kuhusu ongezeko la watu wasio kuwa na sehemu yaku ishi Australia

ukosefu wa sehemu yaku ishi

ukosefu wa sehemu yaku ishi Source: Picha: AAP

Takriban idadi yawa Australia wapatao laki moja hawana sehemu yaku ishi katika msimu huu wamajira ya baridi.


Kwa mujibu wa shirika la Australian Institute of Health and Welfare, makazi, matatizo yakifedha na unyanyasaji wa nyumbani ni baadhi ya sababu tatu kubwa ya ongezeko la ukosefu wa makazi.

 

Katika makala haya, SBS itachunguza masaibu ya wasio kuwa na makazi, katika bustani moja mjini Brisbane. Makala haya yame jiri wakati wiki ya uelewa wa uhaba wa makazi inaanza nchini.

 


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now