Mwongozo wa Makazi: Mwathiriwa wakiharusi anahitaji msaada wa haraka

Picha ya ubongo

Picha ya ubongo Source: Public Domain

Mmoja kati yawa Australia wasita atakabiliwa na kiharusi katika maisha yake, hiyo ni kwa mujibu wa shirika la Stroke Foundation.


Ni muhimu sana kupata msaada haraka, iwapo mwathirika atakuwa na fursa yakupona anapo kabiliwa na ugonjwa huo. Wagonjwa kutoka jumuiya zawa hamiaji wanaweza kabiliwa na changamoto za ziada, kupata msaada unao stahili.

Tarehe 12 hadi 18 ya Septemba, hutamulika kama: National Stroke Week ama wiki yakiharusi nchini. Watu wana hamasishwa kufikiria kwa kasi naku chukua hatua kwa haraka unapo ona mtu ana dalili za kiharusi.

 

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service