Mwongozo wa Makazi: Usalama wa maji Australia

Afisa anaye toa huduma ufukweni

Afisa anaye toa huduma ufukweni Source: Flickr

Australia imejaliwa kuwa na fukwe zaidi ya elfu kumi na kipindi hiki cha kiangazi ndio kizuri kwa kuzifurahia.


Lakini Waustralia wengi wageni, hawana ufahamu wa hatari zilizopo.

Hivyo, jinsi gani ya kuwa salama kwenye maji?Ili kupata habari juu ya fukwe katika lugha zako, pakua programu ya Beachsafe.

Unaweza pia kupata maelezo zaidi kuhusu usalama wa maji kwenye tovuti ya Australia ya Surf Life Saving, sls.com.au.

Jumuiya ya Royal Life Saving inatoa mafunzo ya CPR nchini kote.

Na wakati unapokuwa ufukweni, ongea au onyesha ishara kwa waokoaji ikiwa unahitaji msaada.

Viungo muhimu:

Beachsafe app
Beach Safe by Surf Life Saving Australia - multilingual
Beach Safe by Surf Life Saving Australia
Royal Life Saving




Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service