Nchini Australia wateja wana haki chini ya sheria inayo julikana kama dhamana ya wateja, na sheria hiyo inaweza kuokolea hela.
Hata hivyo watu ambao wame hamia nchini Australia hivi karibuni, wanaweza kuwa katika mazingira magumu zaidi, kupitia mikataba na biashara tata.
Share
