Mwongozo wa Makazi: Ni viza zipi unaweza omba kuwaleta wazazi Australia?08:39Baba na bintiye Source: Getty ImagesFollow and SubscribeDownload (3.96MB)Download the SBS Audio appAvailable on iOS and Android Ni swala la busara kwa wahamiaji ambao wame jenga maisha yao Australia kuwataka wazazi wao wawe karibu yao.Ila kupata viza ya mzazi inaweza chukua muda wa miaka thelathini. Hata hivyo, baadhi ya familia ambazo zina uwezo, ziko tayari kulipa gharama kubwa kuharakisha mchakato huo. Share