Watch FIFA World Cup 2026™ LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Mwongozo wa Makazi: Australia Day ni nini?

Keki aina ya Lamingtons ambayo huliwa kwa wingi katika siku kuu nchini Australia

Keki aina ya Lamingtons ambayo huliwa kwa wingi katika siku kuu nchini Australia Source: Picha: Getty Images


Nisiku yaku adhimisha wakati meli 11 za uingereza zilipo wasili katika bandari ya Port Jackson na Gavana Arthur Phillip ali inua bendera ya uingereza katika eneo la Sydney Cove tarehe 26 January, 1788.

Hata hivyo waAustralia wengi wa asili wanachukua siku hiyo kama siku yaku vamiwa au kupona.

Maana ya Australia Day imebadilikaje baada ya muda?

 

 


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now