Ila katika sehemu za dunia, sherehe hizo hazikuwa za msisimuko mkubwa.
Sherehe za Eid za ashiria mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadan

Chakula chaki Pakistani cha Eid Source: Supplied
Waislamu kote duniani wame sherehekea mwisho wa mwezi Mtukufu wa Ramadan, kwa chakula, sala na kujumuika na familia baada ya mwezi mzima wakufunga.
Share