Waziri Mkuu Scott Morrison na Kiongozi wa Upinzani Bill Shorten, wame tofautiana kuhusu maswala tofauti katika mjadala wa kwanza wa viongozi, wa 2019 katika kampeni ya uchaguzi ya shirikisho.
Mwandishi wa SBS Swahili Frank Mtao, alifuatilia mjadala huo kwa makini, nakutufanyia uchanganuzi wa maswala muhimu yaliyo jadiliwa.
Share






