Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Shorten: Mkataba wa TPP umezikwa majini

Picha ya viongozi husika walio jadili mkataba wa TPP, mjini Auckland, NZ, Feb 2016
Picha ya viongozi husika walio jadili mkataba wa TPP, mjini Auckland, NZ, Feb 2016 Source: AAP

Waziri Mkuu Malcolm Turnbull amesema anaendelea kuwa na matumaini kwamba Australia ita ridhia mkataba tata wa ushirikiano wa utatu wa pacific.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Waziri Mkuu Malcolm Turnbull amesema anaendelea kuwa na matumaini kwamba Australia ita ridhia mkataba tata wa ushirikiano wa utatu wa pacific.


Kiongozi wa upinzani Bill Shorten na chama cha Greens wame ihamasisha serikali iachane na mkataba huo, wakisema wata uzuia ndani ya bunge.

Hata hivyo Bw Turnbull amehamasisha mataifa ambayo yako katika ukanda wa Pacific, kuridhia mkataba huo pamoja nakumshinikiza rais mteule wa marekani Donald Trump ambaye pia anapinga mkataba huo.

 

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now