Dai lisilo la kawaida kuhusu jaribio laushawishi lakigeni, kwa uchaguzi wa shirikisho ujao lime fichuliwa.
Ime ripotiwa kuwa shirika la ujasusi la Australia limegundua njama ya serikali ya China, kuwekezea kampeni za wagombea wa chama cha Labor katika uchaguzi wa shirikisho ujao.
Shirika la ujasusi la ASIO limesema uchaguzi hauja ingiliwa na kiongozi wa chama cha Labor Anthony Albanese, amesema kiongozi wa shirika la ASIO Mike Burgess ame mhakikishia kuwa hakuna wagombea ambao wamehujumiwa.
Share






