Marufuku ya mifuko ya plastiki yata endelea katika majimbo mawili nchini, ambako baadhi ya masoko makubwa yame piga marufuku mifuko ya plastiki nchini kote.
Ila hata kama hatua hiyo imepokewa vyema na wateja wengi, masoko mengi yana endelea kukabiliana na malalamishi toka kwa baadhi yawateja ambao, ambao wanakataa kulipia mifuko ambayo wanaweza tumia mara nyingi.
SBS Swahili ilizungumza na Dkt Jane Brassington, kuhusu madhara ya sera yakupiga marufuku mifuko ya plastiki kwa mazingira na kwa wateja.
Share






