Kupitia miradi hiyo 2 Sydney Stylists, watakao shiriki wata jifunza mbinu za uwezeshaji, mbinu zakujieleza nakujiamini, na pata kuwa muda pia wakujifunza jinsi yakujirembesha.
Mlinzi wa dada: Maandalizi ya viongozi wa usoni

Baadhi ya walio hudhuria mkutano ulio andaliwa na 2 Sydney Stylists, katika hafla yakutoa ushauri na mwongozo kwa viongozi wa usoni Source: SBS Swahili
Shirika la 2 Sydney Stylists: lime toa fursa kwa wasichana wanao taka kuungana na kupata ushauri toka kwa wanawake wenye uzoefu katika maisha na sekta tofauti zakitaalam.
Share




