Maeneo bunge sita Magharibi Australia, tayari kunyakuliwa katika uchaguzi mkuu

Bango la kampeni ya uchaguzi ya mbunge Dr Anne Aly wa chama cha Labor, katika eneo bunge la Cowan, Magharibi Australia. Source: SBS News
Waziri Mkuu na kiongozi wa upinzani wata fanya mjadala wa kwanza katika kampeni ya uchaguzi mjini Perth wiki ijayo, ambako chama chochote kinaweza shinda takriban maeneo bunge sita.
Share