Wachambuzi wengi wa kandanda hawaku ijumuisha Australia, katika orodha ya timu wanazo tarajia kufanya vizuri katika kombe la dunia.
Hata hivyo, Socceroos waliwashangaza wengi kwa kufuzu kutoka kundi lao nyuma ya bingwa watetezi Ufaransa.
Wali ingia katika mechi yao dhidi ya Argentina wakiwa na matumaini yakufuzu kwa robo fainali, ila licha ya juhudi waliyo weka katika mechi hiyo Argentina ikiongozwa na Lionel Messi walishinda mechi hiyo kwa magoli mawili kwa moja.
Bonyeza hapo juu kwa makala kamili, kuhusu yaliyo tokea katika raundi ya 16 ya kombe la dunia la FIFA 2022 nchini Qatar.