Vijana kutoka jumuiya yawa Somali wanao ishi mjini Sydney, NSW wali peperusha bendera ya Somalia kwa fahari katika mechi yao dhidi ya Jordan.
Mwalimu wa timu ya Somalia Bw Agey, ali eleza SBS Swahili kuhusu wachezaji wake pamoja na malengo yake kwa michuano hiyo.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.