Kwaya ya wanawake waki Aboriginal kutoka Australia ya kati, hufanya tamasha kimataifa kutoa uelewa kuhusu utajiri wa tamaduni na utofauti wa waustralia wa kwanza.
Wahifadhi wa nyimbo, wa jangwa la kati

Kwaya ya wanawake waki Aboriginal kutoka Australia ya kati kwenye tamasha Source: Brindle Films
Mwaka huu, lengo la wiki ya NAIDOC ilikuwa kumulika mchango muhimu wa wanawake wa jamii yawa Aboriginal, pamoja na wenzao kutoka visiwa vya Torres Strait vya Australia.
Share




