Waustralia wenye asili ya Sudan Kusini, waungana kukabiliana na matatizo ya kijamii

Chairman of Victoria's South Sudan Community Association, Ring Mayer Source: SBS
Makundi ya Sudan Kusini kutoka Australia kote wamekusanyika pamoja katika jitihada za kihistoria ili kukabiliana na matatizo yanayosumbua jamii za wakimbizi. Viongozi wanasema kuna familia zimekata tamaa kabisa, na watoto waliothirika, wanahangika kumalizia shule zao.
Share




