Wakristo kote nchini Australia wamejumuika makanisani kuadhimisha pasaka.
Jumapili ya pasaka huwakilisha siku ambayo wakristo wana amini Yesu kristo alifufuka kutoka wafu, baada yakusulubiwa siku ya ijumaa.
Waumini katika kanisa la Sing Hozana Outreach, walieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS, umuhimu wa Pasaka kwao, pamoja na umuhimu wakusambaza ujumbe wa matumaini katika jamii na dunia.
Share






