Kwa mara nyingine vijana wa Sudan Kusini, wame ingia katika michuano hiyo wakiwa bingwa watetezi na kila timu ikiwa na lengo ya kuwavua ubingwa wao.
Nahodha wa timu hiyo Bw Athiei ali eleza SBS Swahili, hisia zake baada ya kushinda mechi yao ya kwanza pamoja na malengo ya timu yake.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.