Jeshi lime mfunga mwanaume aliye tawala Sudan tangu 1989, baada ya maandamano ya raia dhidi yake.
Ila kitakacho fuata kwa Sudan kina zua wasi wasi kwa watu wa Sudan, sawa na uongozi ambao ume ondolewa mamlakani.
Serikali ya Uingereza nayo pia, imetoa wito pawe mageuzi ya haraka ili utawala wa raia uanze.
Ila, hatakama hali hiyo ita endelea kuchunguzwa kwa karibu, kile ambacho watu wa sudan wanataka, nakile ambacho watapata, inawezekana kuwa vitu viwili tofauti.
Hali hiyo ina maana kwamba, matatizo ya nchi hiyo ambayo imekumbwa kwa matatizo kwa muda mrefu, huenda mwisho wake ungali mbali.