Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Masaibu ya maisha ndani ya kambi ya wakimbizi

Bw Deo na Bi Singa Masudi ndani ya studio ya SBS Radio
Bw Deo na Bi Singa Masudi ndani ya studio ya SBS Radio Source: SBS Swahili

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Familia ya Bw Masudi iliwapokea wageni kutoka Australia ndani ya kambi ya Kakuma. Baadhi yawageni wao, walikuwa na maoni na misimamo mikali kuhusu wakimbizi nawaomba hifadhi kwa ujumla.

Bw Masudi na familia yake kwa sasa wame hamia nchini Australia nakuanza maisha upya tena. Walitembelea Idhaa ya Kiswahili ya SBS nakutueleza hali ilivyo kuwa ndani ya kambi hiyo yawakimbizi.

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now