Australia yapata matibabu ya ziada ya COVID-19 huku eneo la Tasmania likitangaza kutokuwa na maambuzi ingawaje amri ya kufungiwa ikiendelea.
Na katika Habari za Kimataifa, Polisi nchini Uingereza yadai tukio la kuuawa Mbunge Sir David Amess ni la Kigaidi.