Kiongozi wa zamani wa Kusini Australia ataka elimu ya mapema kupewa kipaumbele kwenye kongamano la ajira itakayo fanyika mjini Canberra wiki hii.
Rais Joe Biden atangaza kuwa, hatimae haki imetendwa baada ya Marekani kumuuwa kiongozi wa kundi la wagaidi la Al Qaeda, Ayman al- Zawahiri.
Kundi la M23 lashtumiwa kuwalenga waandishi wa Habari Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambao wamelazimika kujificha kutokana na vitisho dhidi ya maisha yao.