Maelfu ya watu wameukimbia mji wa Goma ulio mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na kuingia Rwanda baada ya kutokea mripuko wa Volcano kwenye mlima Nyiragongo.
Waziri wa afya wa shirikisho Greg Hunt amewaonya wa Australia wenye zaidi ya miaka 50, wapokee chanjo haraka iwezekanavyo na wasisubiri aina zingine za chanjo.
Maandamano yanayo unga mkono wa Israeli nawa Palestina yameshuhudiwa hii leo kote nchini Australia.
Wanachama wa jamii yawa Palestina waliandamana katika mitaa ya miji mikuu ya Australia, kutoka Sydney hadi Adelaide.
Share





