Serikali ya shirikisho inawasaidia wahanga wa unyanyasaji wa nyumbani, kwaku wajengea mamia ya nyumba mpya, wanawake na watoto ambao wako hatarini kote nchini.
Uchaguzi wenye ushindani mkali hapa Marekani unaingia katika awamu muhimu wiki hii pale Donald Trump na Joe Biden watakapokutana kwa mdahalo wa kwanza Jumanne, ambao hatimaye utawapatia wapiga kura fursa ya kufahamu misimamo tofauti iliyopo kati ya wagombea hao wawili.
Mgombea urais kupitia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amekanusha kupokea barua ya kumuita kwenda kujieleza kwenye kamati ya maadili katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).