Chama cha Mapinduzi nchini Tanzania jana Jumamosi, kilizindua rasmi kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu 2020, katika uwanja wa Jamhuri Dodoma, ambapo wasanii zaidi ya 100 walishiriki kutumbuiza katika uzinduzi huo.
Taarifa ya habari 30 Agosti 2020

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili
Mweka hazina wa taifa Josh Frydenberg asema serikali haita unga mkono pendekezo la mageuzi kutoka upinzani, kwa mfumo wa JobKeeper akisisitiza kuwa mapendekezo hayo yanaweza gharimu ajira.
Share