Michael McCormack amesalia katika nafasi yake ya uongozi wa chama cha Nationals na Adam Bandt achaguliwa kuongoza chama cha Greens bila kupingwa.
Daniel Arap Moi, rais wa pili wa Kenya ameaga dunia leo Jumanne. Kifo chake kimetangazwa na Rais Uhuru Kenyatta, katika tangazo lililorushwa moja kwa moja na televisheni ya taifa.
Jimbo la Iowa nchini Marekani limeanza zoezi la kuchagua mtu atakayepeperusha bendera ya chama cha Democratic katika uchaguzi wa rais utakaofanyika baadaye mwaka huu.
Share





