Licha yakuzaliwa katika familia masikini, Reginald Mengi alifanikiwa kuwa mmoja wa wafanyabiashara na tajiri mkubwa nchini Tanzania, na barani Afrika na aliorodheshwa katika orodha yamatajiri ya Forbes.
Tanzania yaomboleza kifo cha Reginald Mengi

Reginald Mengi akizungumza na vyombo vya habari nchini Tanzania Source: mwananchi.co.tz
Kifo cha Reginald Abraham Mengi, kiliwashangaza watanzania wengi duniani kote, Australia ikijumuishwa.
Share