Afrika ya kati na mashariki ina wakilishwa na Tanzania, na D R Congo katika michuano hiyo.
Katika mechi ya kwanza ya michuano hiyo, vijana wa Tanzania walikutana na vijana wa Sudan katika dimba hilo, na nyavu za timu hizo mbili, hazikuweza hifadhi siri za yaliyo jiri katika mechi hiyo.