Katika miaka ya kwanza ya michuano hiyo, Tanzania ilikuwa timu yaku ogopwa ila ukali wao ulififia kila msimu.
Hata hivyo, vijana wa Tanzania wamerejeshea timu yao heshima tena, baada ya miaka kadhaa yakufeli kuondoka katika kundi lao nakutinga robo fainali kwa mara ya kwanza baada ya zaidi ya miaka minane.

Viongozi wa timu ya Tanzania ya Sydney, NSW waonesha furaha yao baada yakutinga robo fainali ya kombe la Afrika la Sydney, NSW 2019. Source: SBS Swahili