Mtazamo wa ukuaji wa uchumi wa Tanzania sehemu ya kwanza

Top view of banknotes of Tanzanian shillings different denominations closeup isolated on white background Source: iStockphoto
Kumekuwa na maswali mengi juu ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania. SBS Swahili ilipata wasaa wa kuzungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa kimataifa kuhusiana na mwenendo huo mzima wa uchumi.
Share