Kumekuwa na maswali mengi juu ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania. SBS Swahili ilipata wasaa wa kuzungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa kimataifa kuhusiana na mwenendo huo mzima wa uchumi. Na hii hapa ni sehemu ya pili ya mazungumzo hayo.
Share

Published
Updated
By Frank Mtao
Presented by Frank Mtao
Source: SBS
Share this with family and friends


