Serikali ya taifa imetangaza tathmini kwa tamaduni ya kazi ndani ya bunge la taifa.
Tangazo hilo limejiri wakati waziri mkuu Scott Morrison ame weka wazi imani yake kwa waziri wa ulinzi Linda Reynolds, ambaye alilazimishwa kuomba msamaha kwa wathirika wa madai ya ubakaji ambaye alikuwa pia mfanyakazi wake wa zamani.
Share






