Ofisi ya ushuru ya Australia almaarufu (ATO) imesema itaongeza mara tatu idadi ya ukaguzi inayo fanya kwa watu binafsi, katika juhudi yaku funga pengo ya dola bilioni 9 ya mapato ya ushuru yaliyo potea.
Shirika la A-T-O limesema tatizo kubwa zaidi, ni watu wanao dai gharama bandia zinazo husiana na kazi pamoja na gharama zakukodisha nyumba.
A-T-O imesema ita tumia uwekezaji wa ziada, kutoka bajeti ya mwaka jana kuongeza mara tatu idadi ya uchunguzi inayo fanya.
Share






