Waendesha biashara ya Taxi watoa maoni yao juu ya unyanyasaji

Ogweyo Ranga at work Source: SBS
Maoni yao yanafuatia malalamiko ya wafanyakazi wa usafiri - shiriki yaani Uber, Taxify, OLA kuhusu unyanyasaji na malipo ya chini wanayopata. SBS Swahili iliweza kumpata mmoja wa waendesha biashara hiyo ya Taxi, Bwana Ogweyo Ranga ambaye alielezea jambo hilo kwa kina na suluhisho lake.
Share




