Samatta amekuwa moto wa kuotea mbali kwa Genk msimu huu na hiyo imezitaahadhirisha baadhi ya vilabu vya Ligi Kuu.
Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Tanzania, ambaye ana magoli 33 katika michezo 51, amefunga mara 14 katika michezo 16 tu. Hii ni pamoja na magoli 9 ya Europa League kwa Genk msimu huu 2018-2019.
Frank Mtao alizungumza na msemaji wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, ambaye alikuwa na haya ya kusema ...!