Biashara ya taxi, imekuwepo kwa muda mrefu sasa, licha ya changamoto inazokumbana nazo kutoka kwa usafiri - shiriki yaani magari ya Uber, Taxify nakadhalika, lakini bado biashara hii imeendelea kusimama imara.
SBS Swahili, ilifanikiwa kuzungumza na mmoja wa maderava wakongwe wa biashara hii Bwana Lukas Emmanuel Mnandala, ambaye anatupa kiundani juu ya uendeshaji na changamoto wanazokumbana nazo kama alivyohojiwa na Mwandishi wetu Frank Mtao.
Share






