Zaidi ya timu 70 zita shiriki katika michezo ya 21 ya jumuia yamadola, itakayo anza jumatano tarehe 4 Aprili 2018 mjini Gold Coast, Australia.
Timu hizo kutoka sehemu tofuati duniani, zina kitu kimoja ambacho zinachangia: nchi hizo zote ni nchi wanachama wa jamuia yamadola, nyigiyazo zilikuwa zikimilikiwa zamani na himaya ya Uingereza.
Katika michezo hiyo, mshindi kawaida huwa mmoja tu. Australia.
Na siku hizi, kuna swali moja tu ambalo liko wazi.
Share

