Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Gharama ya uraia pacha Tanzania

Waziri William Lukuvi aonesha hati miliki ambazo amefuta
Waziri William Lukuvi aonesha hati miliki ambazo amefuta Source: lands.go.tz

Wahamiaji wanapo wasili katika nchi mpya, wengi wao huwa wanamipango ya muda mrefu, baadhi ya mipango hiyo ina husiana na maisha ya mapya nchini. SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya watanzania wanao ishi Australia kuhusu baadhi ya mipango hiyo.

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS

Share this with family and friends

Wahamiaji wanapo wasili katika nchi mpya, wengi wao huwa wanamipango ya muda mrefu, baadhi ya mipango hiyo ina husiana na maisha ya mapya nchini. SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya watanzania wanao ishi Australia kuhusu baadhi ya mipango hiyo.

Mazungumzo hayo yalijiri baada ya hatua ya waziri wa Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Mh William Lukuvi kufuta hati miliki za baadhi yawa Tanzania ambao walikuwa wame pata uraia pacha "katika hali isiyo halali".

Watanzania wengi wanao ishi nchini Australia wanapo anza kufikiria hatua yaku chukua uraia wa Australia, ni gharama zipi za muda mrefu ambazo huenda zikawakabili?

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now