Athari za utafutaji wachumba mitandaoni

Black woman using laptop on sofa Source: Tetra images RF
Baadhi ya shughuli za kila siku mara nyingi hutufanya tushindwe kupata muda wa kutafuta mpenzi hasa kwa walio na umri mkubwa. Hiyo ni moja ya sababu ya kuwafanya wengi kutumbukia kwenye wimbi la kutafuta wachumba kupitia mtandao lakini zipo sababu nyingine nyingi na madhara yake, jua zaidi.
Share