Kuna maisha baada ya uchaguzi wa Uraisi
Wagombea wa urais wa Kenya 2017 Source: Picha: KTN
Kampeni ya uraisi nchini Kenya ilikuwa ngumu na ilizua maswala mengi, na masaa machache kabla ya wakenya kupiga kura za kuamua atakaye kuwa rais wakenya wanao ishi Australia wame ongezea sauti zao kwa mwito wa uchaguzi wa amani. SBS Swahili ilizungumza na baadhi yao katika makala haya.
Share




