Kama uli ipenda au ulichukia, naibu waziri mkuu wa zamani Barnaby Joyce, alilipwa kufanya mahojiano akiwa pamoja na mchumba wake Vikki Campion, ambaye kwa sasa amejifungua.
Wiki hii katika siasa ya taifa mjini Canberra 8Juni2018

Kikao cha bunge la taifa mjini Canberra, Australia Source: AAP
Waziri mkuu alikuwa umbali wa maelfu ya kilomita toka bunge la taifa wiki hii, hata hivyo hakuweza kwepa maswali kuhusu mahojiano yakisiasa yaliyo tazamiwa mwaka huu.
Share




