Tabia ya wanasiasa imekuwa mandhari ambayo ilijirudia wiki hii katika mji mkuu wa taifa.
Wiki hii naibu waziri mkuu wa zamani Barnaby Joyce, alijitumbukiza tena katika vichwa vya habari.
Ila wakati huu, tatizo lilikuwa ni uamuzi wake pamoja na mchumba wake mpya Vikki Campion, walipo kubali malipo ya dola laki moja elfu hamsini, ili wafanye mahojiano na kipindi cha Sunday Night ambacho hupeperushwa na kituo cha Channel Seven.
Share






