Licha ya viongozi katika serikali ya shirikisho kudokeza mfuko wakusaidia kukabiliana na shinikizo za gharama ya maisha, upinzani ume ongeza ukosoaji wayo kwa jinsi serikali za Labor husimamia maswala ya uchumi na fedha.
Tim Mudasia ni mtaalam na mchambuzi wamaswala ya uchumi na fedha, katika mahojiano na SBS Swahili alifunguka kuhusu sehemu ambako serikali italenga kusaidia jamii zote kupata afueni kwa gharama ya maisha.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.