Tina Mukasa: Tumia vipaji ambavyo Mungu amekupa
Tina Mukasa kwenye mashindano ya wana mitindo Source: Picha: Tina Mukasa
SBS Swahili ilizungumza na Tina Mukasa, ambaye ata shiriki katika mashindano ya urembo na mitindo ya Miss World Australia mjini Melbourne, Victoria. Katika mazungumzo hayo, Bi Tina alisisitiza umuhimu waku fautilia ndoto zako pamoja na vipaji vyako.
Share
