Sababu kuu ya wasiwasi huu mkubwa ni kwamba ukosefu wa utulivu umeongezeka katika Sahel, jiografia inayoanzia Bahari ya Atlantiki hadi Bahari ya Shamu.
Kabla ya Niger, eneo hilo la Sahel limeshuhudia mapinduzi mengine ya kijeshi yaliyofanyika katika nchi za Burkina Faso na Mali katika miaka mitatu iliyopita.
Bw Tom Ndahiro ni mchambuzi wa maswala yakisiasa nchini Rwanda, alimweleza mwandishi wetu Jason Nyakundi kwa nini nchi ambazo ziko katika ukanda wa Magharibi ya Afrika na Sahel na zilizo tawaliwa na Ufaransa zina endelea kuwa katika hali ya migogoro na mapinduzi yakijeshi.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.