Katika mahojiano ambayo yame chapishwa nakutangazwa katika redio, Bw Abbott amesema wapiga kura wame choshwa na serikali ambayo haifanyi kazi ipasavyo.
Tony Abbott aonya serikali ya mseto kuhusu hatari yakupoteza uchaguzi mkuu ujao
Waziri Mkuu wa zamani Tony Abbott akiwa na Ray Hadley ndani ya studio ya redio 2GB mjini Sydney Source: Picha: AAP
Waziri Mkuu wa zamani Tony Abbott amewaonya wanachama wenzake kuhusu athari yaku poteza uchaguzi mkuu ujao dhidi ya kiongozi wa upinzani Bill Shorten.
Share




