Moto wa vichaka, ukame, joto kali, vimbunga pamoja na mafuriko husababisha uharibifu nchini kote, matukio kadhaa mara nyingi hupiga kanda tofauti mara moja.
Tunajihisi kama wakimbizi tena, baada ya mafuriko ya Townsville

Houses are inundated with flood waters in Townsville, North Queensland, Monday, February 4, 2019. . Source: AAP Image
Nchini Australia, majanga ya asili ni tishio la kila mwaka.
Share




